SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Slayed Or Played Highlights Kutoka Week Iliyopita
Mitindo

Slayed Or Played Highlights Kutoka Week Iliyopita 

Tumeanza week nyingine tena, week iliyopita tumeona mambo mengi mengi ya kuhuzunisha na mengine ambayo yalitufurahisha kutoka hapa kwetu lakini pia kutoka Nchi za wenzetu tuanze na yaliyo tufurahisha

  • Rihanna as a bride maid

Week iliyopita mwanamuziki Rihanna ambae pia ni fashion icon alisimamia harusi ya best friend wake aitwae Sonita , kilicho tufurahisha katika hii harusi ni jinsi ambavyo tulipata kumuona Rihanna Robyn Fenty mwenyewe na si Bad Girl Riri au Riri, Rihanna alikuwa simple in her blue mermaid dress, simple makeup & sleek ponytail hair do alivaa sare sawa na wasimamizi wengine na mostly hakumu-outshine best friend wake,she actual looked gorgeous

  • Priyanka Chopra & Nick Jonas Engagement

Muigizaji Priyanka Chopra ame valishwa pete na mpenziwe Nick Jonas huko India, walivaa Indian traditional wear kitu ambacho hatukiketegemea kutoka kwa Nick Jonas ni kuvaa haya mavazi yaitwayo Kutra ya kihindi, tulitegemea angevaa suit lakini ikawa tofauti well they say love can make you do anything, Nick alivaa crisp ivory long-sleeved kurta pyjama wakati Priyanka Yeye alichagua yellow engagement anarkali embellished with beads and embroidery kutoka kwa mbunifu label Abu Jani Sandeep Khosla, tumependa kwamba wamechagua mavazi ya kitamaduni zaidi.

 

  • Kanye And Kim As Wedding Guests

Week iliyopita harusi zilipamba moto tumemuona rapper 2 chainz ambae yeye aliamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, moja ya wageni waalikwa katika harusi hii alikuwapo rapper Kanye West na mpenziwe Kim Kardashian, Kim & Kanye walichagua ku grab all the attention na mavazi yao, Kim alivaa Neon spandex dress yenye mpasuo mbele we total don’t ship with this color, ameonekana yeye zaidi kuliko bibi harusi she total out shined the bride and the dress is more of a club dress sio wedding guest dress Kim you disappointed the fashion community, the husband went all in by wearing Louis Vuitton Suit with Yeezy season 5 slides ambazo hazimtoshi did he borrow them kutoka kwa mtoto wao Saint West?  The bonding moment between father & son. kitu ambacho tunaweza kusema kutokana na choice zao za mavazi ni attention seeking na wakaipata haswa

Tukirudi Tanzania kulikuwa na event mbalimbali kubwa lakini hii ya Komaa Concert ilibamba zaidi na hawa ndio tulio waona tukaona tuwaongelee

  • Nandy Wewe Sio Wa Kuvaa Hoodie Mchana

mwanamuziki wa kike anaefanya vizuri kwa sasa bi. Nandy alipanda katika jukwaa la komaa concert akiwa amevaa arm green patched hoodie na thigh high boots (some Ariana Grande Vibes) tungeipenda hii outfit kama ingekuwa usiku ingeeleweka zaidi lakini mchana wa jua kali? tena na thigh high boots na joto la Dar its a no to us.

 

  • Maua Why The Kimono Belt?

Maua yeye alikuwa sawa kabisa kwa kuvaa crop top, denim shorts na thigh high boots ni concert wear kabisa lakini waswahili walishawahi kusema mchamba mwingi right? Maua akaamua kuongezea na kimono na kuchukua belt ya kimono kuvaa kiunoni the question is why? well basi llabda swagga angetoa kimono hata tusingejua ule mkanda umetoka wapi the kimono turned off the outfit and kuonekana mambo ni mengi

  • Next time inabidi tuwaambie tunao waalika event ni muda gani

All the way from Ug mpaka Tz vinka kutoka Uganda alipanda katika jukwaa hili akiwa amevalia   embellished with beads sheer jumpsuit hatujui ali survive vipi lile jua tunadhani atakuwa amejifunza jambo na wakati mwingine atajitahidi kuuliza hali ya hewa ya Tanzania na wapi anaenda kufanya show this was just wrong timing  wrong place.

 

tupe maoni yako kupitia mitandao yetu ya kijamii

Related posts

3 Comments

  1. browse around here

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-highlights-kutoka-week-iliyopita/ […]

  2. have a peek at this site

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-highlights-kutoka-week-iliyopita/ […]

  3. Look At This

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-highlights-kutoka-week-iliyopita/ […]

Comments are closed.