SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Slayed Or Played Looks Za Week Iliyopita Kutoka Diamond, Jux Na Wengine
Mitindo

Slayed Or Played Looks Za Week Iliyopita Kutoka Diamond, Jux Na Wengine 

Wiki iliyopita watu maarufu wakiume walionekana kuwa wanapost sana outfit zao, hatuna uhakika kwanini au ladba ni kwa sababu wanawake walikuwa kimya ndio maana tuka-notice za kiume. Wengi wameonekana kuvalia suit lakini wengine wakiwa wapo in casual outfits, leo tunauliza nani kaibeba week iliyopita na kuifanya yake kimuonekano kati ya hawa

Dogo Janja, alionekana akiwa amevalia purple suit tumependa rangi ya suit ni mara chache kuona mwanaume amechagua kuvaa rangi rangi. Rangi ilikuwa perfect tumependa alivyovaa na shati nyeupe kwa ndani imefanya azidi ku-pop tulicho chukia ni suit ilipo ishia na viatu, come on guys some times unacho hitaji kufanya ni sio kwenda na trend ila kuangalia is this trend suitable kwako? na kama sio ni jinsi gani unaweza kuitwist ikakufaa. Suit imetoka kwa mbunifu @chidy_designs

When you talk about vintage count on G Nako, huyu msanii ana style ya pekee. Yupo unique sana week iliyoisha tulipenda hii outfit yake ambayo alivaa vintage shirt, distressed jeans nyeusi na boots nyeusi pamoja na hat na matrix glasses he looked perfect we love the total package.

Stylist Noel Ndale yeye aliamua ku-pop in stripes ambapo alivaa stripes trouser, blue shirt iliyoendana na mistari ya suruali yake na kumalizia na oxford shoes na belt iliyoendana na suruali yake,we love the fact kwamba amekuwa creative na hii belt na tunashukuru si off white industrial belt na ameamua kutengeneza cha kwake.

Diamond Platnumz & Rayvanny walipendeza wakiwa wamevalia suit nyeupe wakiwa wame accessories na bow tie nyeusi na kumalizia na viatu na socks nyeusi, well tumependa that wamezivaa bila makorokoro mengi sometimes less is more.

 

Juma Jux nae alipendeza na hii outfit yake ambapo alivaa velvet black blazer ambapo kwa ndani alivalia na shirt nyeupe na bow tie nyeusi ameamlizia na suruali ya kitambaa nyeusi, slip ons shoes nyeusi ame accessorize na miwani, hereni na saa. we likey. 

Mr Blue Byser yeye alivaa suit ya mustard ambapo kwa ndani alivalia shirt lenye rangi ya blue na nyeupe. Blue ana tatizo kama la Dogo Janja, tunadhani its about time tu throw away hii trend ya viatu bila socks na half trouser & go back to classic suit ways, hii trend inakuwa inaonekana vizuri kama suit inavaliwa in a casual way na sio kuvaa classic suit halafu ipo half unless you have the body. well rangi ya suit ipo on point na imetoka kwa clemoodesigner

Tuambie kwako nani amebeba taji la slayer wa week katika outfit hizi tulizozipost?

Related posts

3 Comments

 1. เครดิตฟรี 50 ยืนยันเบอร์

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-looks-za-week-iliyopita-kutoka-diamond-jux-na-wengine/ […]

 2. pop over here

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-looks-za-week-iliyopita-kutoka-diamond-jux-na-wengine/ […]

 3. psilocybin chocolate bar for sale​

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-looks-za-week-iliyopita-kutoka-diamond-jux-na-wengine/ […]

Comments are closed.