SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Slayed Or Played Weekly Highlights
Mitindo

Slayed Or Played Weekly Highlights 

Jumatatu nyingine tena ambayo tunakuletea segment ya nani alipendeza na nani aliharibu kuliko wote week nzima katika watu maarufu, well tuseme tu week ilikuwa nzuri kabisa wengi walipendeza japo kama kawaida katika msafara wa mamba kenge hawakosagi. Basi tuone nani alipendeza week hii

Mwanamuziki Vanessa Mdee this girl amekuwa aki-slay mwaka huu, ame invest katika mavazi yake na kuonekana ki-star week hii alifunga week na greenish outfit ambapo alivaa turtle neck blouse, fringe min skirt akamaliza muonekano wake na blonde hair, gucci sunglasses zenye thamani ya shilingi  1,416,080/- na akamaliza na moja ya essentials za viatu kwa sasa clear pvc heels.

Mwingine aliyetuvutia week hii ni mama Dogo Janja yaani Irene Uwoya, truth be told huyu dada nae amekuwa akija kwa kasi katika swala la mavazi mwaka huu, Week hii outfit yake iliyotuvutia ni hii all black outfit ambayo alivaa a dior black dress, miwani mweusi akamalizia na black pumps, she did justice to the fashion community.

Lulu Diva gave us some Beyonce feelings we all know Beyonce anapenda kuperform huku amevalia body suit, Lulu Diva ameonekana akiwa ana perform akiwakavaa blush pink body suit kutoka kwa mwanadada Jacques Collection, hair & makeup on point.

 

Mwanamitindo Tausi Likokola alipendeza akiwa mtaani huku amevalia a graphic tee iliyo andikwa Vogue, leather pants nyeusi akamaliza na pumps heels nyeusi na kofia, her bob cut is goals.

Kwa upande wa wavualana mwanamuziki Ali Kiba ametupa picha zake mpya, amevalia all black outfit huku akiwa ame-style outfit yake na denim jacket

Mwingine ni Rio Paul, Rio amekuwa ana signature look always anajaribu kuonekana classy and elegant hata akiwa in a casual look, ana elements zake ukiona unajua this is Rio, week hii tumeipenda hii kutoka kwake

Tukimaliza week mtu maarufu ambae ametuchosha ni gigy money au mama Mayra hatujui kama aliziangalia mara mbili hizi picha au kama kawaida yake miss i don’t care. The makeup is off, tumependa the skirt nzuri sana na inaonekana kidogo alitumia hela kuinunua but she had to ruin it na hii cheap looking crop top, throw the crop top and make up away, its a highly unattractive look.  

well hii ndio report yetu ya week iliyopita until next time bye.

 

Related posts

7 Comments

 1. สล็อตเว็บตรง

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-weekly-highlights/ […]

 2. ผ้ายางปูพื้นรถยนต์

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-weekly-highlights/ […]

 3. buy Psilocybe Azurescens online store

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-weekly-highlights/ […]

 4. mushrooms in puerto rico

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-weekly-highlights/ […]

 5. boutiq vapes

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-weekly-highlights/ […]

 6. purchase botulinum toxin type a

  … [Trackback]

  […] There you can find 10241 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-weekly-highlights/ […]

 7. ห้องพักรายวัน รามอินทรา

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-weekly-highlights/ […]

Comments are closed.