Hello Afromates, we hope December is treating you well well, Tunaelekea mwisho wa mwaka na leo tunaangalia namna ambavyo watu maarufu wamezindua December yao je wame Slay? au wame play? Katika menu yetu leo tuna Irene Uwoya, Queen Elizabeth, Rayvanny & Harmonize, Hapiness Magesse na Monalisa
Mwanamitindo Happiness Magese akiwa ameenda kuhudhuria Tuzo za Abryanz Fashion & Style Awards alivaa hii white cutout shoulder dress ambapo mikono yake ilikuwa ya feathers, she looked gorgeous with her platinum blonde cut hair style amemalizia na statement earrings, we love this look on her smart & clean
Miss World Tanzania Queen Elizabeth akionekana akiwa amevalia hii purple dress kutoka kwa mbunifu Eve Collection, with so much going on tungefurahi kama nywele zinge banwa, we love the dress lakini tunadhani lingefaa zaidi kwa mtu mwenye curves kidogo, well styled but hivyo vitu viwili vimeangusha huu muonekano ( Afro mates nini maoni yenu)
Mwanadada Yvonne Cherrie au Monalisa week hii tumemuona kwenye hii blue off shoulder jumpsuit, Mona didn’t disappoint us, does she ever age? her body is goals too.
One word for this look kutoka kwa Irene Uwoya “Fire” a girl is killing this fashion game effortlessly
Here for Harmonize, lakini Rayvanny he should stop being mcongo man the balmain & versace combination is not our cup of tea.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-with-irene-uwoya-queen-elizabeth-rayvanny-and-many-more/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-with-irene-uwoya-queen-elizabeth-rayvanny-and-many-more/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-with-irene-uwoya-queen-elizabeth-rayvanny-and-many-more/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-with-irene-uwoya-queen-elizabeth-rayvanny-and-many-more/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-with-irene-uwoya-queen-elizabeth-rayvanny-and-many-more/ […]