SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Slayed Or Played With Lulu Diva, Otile Brown, Esma Platnumz And Many More
Mitindo

Slayed Or Played With Lulu Diva, Otile Brown, Esma Platnumz And Many More 

#afromates week imeisha na kama ambavyo tunajua kila jumatatu huwa tunawaletea report ya zile looks ambazo tumeona zimenoga na zile ambazo tumeona zimekosewa, well week hii tuna looks kutoka kwa watu mbalimbali ndani na nje ya Nchi na seems like this week wengi walijitahidi katika mavazi, kila mtu ameonekan ku-take notes na kutokea kinamna yake

  • Rita Dominic Outfit at Afriff (Africa Film Festival)

Rita Dominic is one slay mama, she just gets it and anajua nini kinamfaa na nini hakimfai wakati ana attend katika awards za Africa Film Festival, Rita alivaa hii glitter Cinderella dress ya pink na glitter za silver, the dress imemkaa vizuri, her makeup was on point, hair style on one hundred she just looked gorgeous.

  • Esma Platnumz 

Esma blessed our Ig timelite with this kitenge dress, tumependa mshono, tumependa how she carried the dress, tumependa her pose, makeup, hair on point kwetu ni moja ya best dressed this week, she did that effortlessly

  • Lulu Diva

we spotted Lulu Diva in apple green outfit, colorful and we loved it, siku mbili tatu zilizopita hali ya hewa ilikuwa ina act up, Lulu ameonekana kulitambua hilo na kutupa this kind of slayage, slayed the weather in sexiness, rangi ya trench coat ina catch attention, nywele na makeup on point we the green shoe to finish up muonekano wake.

  • Vera Sidika 

You can never go wrong with black, Vera amevaa a little black dress iliyo mchora mwili wake vizuri ( we all know she is body goals),amemalizia muonekano wake na thigh high boots nyeusi, Gucci cross bag na hereni na kofia huku aki wrap up her look na red lipstick.

  • Otile Brown 

na yeye tulipenda muonekano wake ambapo alivaa all black outfit, kofia, cross bag na white kicks.

Who is your best look this week?

Related posts

1 Comment

  1. mdma crystal jewelry,

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-with-lulu-diva-otile-brown-esma-platnumz-and-many-more/ […]

Comments are closed.