SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Slayed Or Played With Vanessa Mdee, Elizabeth Michael, Nedy Music And Others
Mitindo

Slayed Or Played With Vanessa Mdee, Elizabeth Michael, Nedy Music And Others 

Hello #afromates as wote mnajua kwamba kila jumatatu huwa tunaleta list ya nani amevaa nini na alipendeza au lah kutoka week iliyopita, well kama mgeni basi jua kwamba tuna system ya kukuletea report ya week nzima ya nani amepanda nini katika swala zima la fashion, seem like tunamaliza mwaka vizuri as week hii napo wengi wamejitahidi na mavazi kutoka kwa wakaka na wadada wengi wamefanya vizuri well lets see the report shall we

Tuanze na waliotuwakilisha katika red carpet ya #afrimaghana2018,

 • Vanessa Mdee

she wore this gorgeous gold feather dress kutoka kwa mbunifu Kyamirwa, amemalizia muonekano wake na open sandals, sleek ponytail hair style na simple makeup, she looked simple & safe for red carpet.

 • Nedy Music A.K.A Mpemba mmoja

yeye alivaa hii suit ambayo alikuwa styled na stylist Noel Ndale, A brother ameonekana kama a grown up man kitu ambacho ni kizuri kubadilika hasa kwenye matukio makubwa kama haya, accessories on point & ameshinda award usiku huu.

 • Lulu Diva

been slaying our souls siku hizi, week hii tume m-spot in this two pieces white outfit, she looked clean, amemalizia muonekano wake na silver accessories na nude stiletto, we love her hair & face beat japo accessories kama zingepungua but she nailed the look styled by Macrida Joseph.

 • Mbunifu Elisha Red Label

is back with this beautiful red dress worn na mwanadada fifi.fionaa,this dress is everything and more, just breath taking

 • Elizabeth Michael Na Mtarajiwa Wake Majizzo

Elizabeth Michael na mpenziwe Majizzo wameonekana in this outfit ambayo tumependa , tumependa kwamba Majizzo ana jjitahidi ku-keep up na Lulu they looked like wale couple ambao tuna hashtag #couplegoals

Alichovaa Elizebeth Michael Lulu Katika Siku Yake Ya Mahari

 • Cyrill Kamikaze

we love when a men rock a trend na akapendeza, tume m-spot mwanamuziki Cyrill Kamikaze akiwa amevalia floral shirt yenye animal print, suruali nyeusi, black shoes huku akiwa ame accessories na miwani, saa na mikufu, okay he can make it as our man crush monday, dripping.

 

Week hii alie haribu ni mwanadada Aika kutoka Navy Kenzo, Aika loves her self so much & tunapenda hiki kitu kutoka kwake lakini a sister needs to be reminded kila kitu kina mipaka yake too much can be harmful sometimes. anahitaji kujua what’s work and what doesn’t

Related posts

1 Comment

 1. resource

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/slayed-or-played-with-vanessa-mdee-elizabeth-michael-nedy-music-and-others/ […]

Comments are closed.