SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

SNAP BACK ZINARUDI
Mitindo

SNAP BACK ZINARUDI 

Katika pita pita zetu za hapa na pale tukakutana na Snap Back au kofia/kapelo, watu maarufu wengi wanawake wame onekana wakivalia snap back iwe mitoko ya kawaida au kwenda gym. Snap Back ni mkombozi hasa pale ambapo huzielewi nywele zako lakini kipindi cha kati zilipotea na ma wig yaka chukua nafasi yake, Kwa sasa tunaona zinarudi na hawa ni baadhi tu ya walio tinga snap back kwenye mitoko yao.

AGNES

Agness MasogangeLULU

Elizabeth MichaelROSE

Rose NdaukaVERA

Vera Sidika

wengine kama Vanessa Mdee, Monalisa na wengine wengi pia wameonekana wakiwa wame tinga kofia hizo

Related posts

2 Comments

  1. cannabis for sale in australia cheap

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/snap-back-zinarudi/ […]

  2. vigrx

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/snap-back-zinarudi/ […]

Leave a Reply