SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

South Africa Fashion Week Started With A Bang
Mitindo

South Africa Fashion Week Started With A Bang 

Tukiongelea Nchi ambazo Africa zimepiga hatua kwenye swala la mitindo huwezi kuacha kuitaja South Africa, wenzetu wamepiga hatua kwenye mitindo na jana South Africa Fashion Week imeanza as usual Fashionistas kutoka South wameanza week hii na mabomu maana sio moto,

Tukianza na Slayer Bonang Matheba yeye alivaa full red outfit (lady in red) amevaa a red leather jumpsuit na red pumps uku akimalizia muonekano wake na red long fur coat, miwani na bole red lipstick. Badamu Bamemwagika.

kefilwe_mabote yeye aliamua kuwa chic casual ambapo alivaa distressed denim trouser yenye pearls, vest nyeupe ambapo kwa juu aliongezea blazer nyeusi, akamalizia muoneano wake na small side bag, hat na open heels

Kim Jayde yeye alivaa gray see through dress ambayo ndani alivaa na lingerie nyeusi huku akimalizia muonekano wake na  thigh high  Black boots na clutch

Huyu tumempenda zaidi ni stylist na modern muslim Fashionista, tumependa alivyp istyle hii high slit skirt na jeans, the tassel top amemalizia muonekano wake na pumps pamoja na clutch na kilemba.

Pearl Thusi yeye alimua kuwa pink babe ambapo alivaa pink dress aliyo valia na floral kimono juu, pink open heels na pink shades, We see you pearl 

ZINHLE JIYANE alivaa white and black sweat pants (trending), white shirt amemalizia muonekano wake na laceup heels alizovalia na fishnet socks na floral kimono chenye kijani na njano na shades. we love love the package.

hii ni day 1 we cant wait to bring you all the outfits tulizo zipenda kwa week nzima stay tuned.

Related posts

3 Comments

  1. sig mcx spear

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/south-africa-fashion-week-started-with-a-bang/ […]

  2. เด็กเอ็น

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/south-africa-fashion-week-started-with-a-bang/ […]

  3. buy magic mushrooms online oregon​

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/south-africa-fashion-week-started-with-a-bang/ […]

Leave a Reply