Khanyi Mbau Metanoia ni muigizaji na tv host kutoka South Africa hili jina linaweza kuwa geni kwako kwani anajulikana sana kama @mbaureloaded katika mitandao ya kijamii, akiwa ame attend South African Film and Television Awards 2018 Khanyi ameonekana kuvalia hili gauni ambalo sisi tunakumbuka kuliona katika collection ya Moschino spring 2018.

Khanyi alivaa hii statement dress kutoka kwa posh_zw_official akiwa ameachia  nywele & she added clear glasses well as weird as it seems we like how ame style hili gauni.

Kama mnakumbuka vyema katika hii collection Moschono alikuwa creative kwa kubuni magauni yanayo fanana na vipepeo na maua, infact ilikuwa favorite collection yetu kutoka kwa moschino

Ukiangalia hayo magauni utagundua zinafanana kiasi fulani ila tu moja lime kuwa edited na kitambaa ni cheap kidogo wakati lingine ni high quality, ni vizuri kuwa inspired tumependa kwamba haja copy na ku- paste ameamua kuongeza touch’s zake mwenyewe.

Tumemuona Zendaya akiwa amevaa hili Moschino dress pia katika  Australian Premiere of The Greatest Showman, Zendaya yeye alivaa gauni hii na open heels nyeusi, na simple makeup & accessories as the dress it self ni statement.

tuambie wewe umeonaje ni kweli yanafanana?