SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Spotted Bhoke Egina & Dogo Janja Rocking Mini Bag Combat Boots
Mitindo

Spotted Bhoke Egina & Dogo Janja Rocking Mini Bag Combat Boots 

Its boots season hizi mvua za hapa na pale ni vizuri ukawa umejiandaa na kiatu kizuri cha kuvaa sasa hivi ni boots, lakini hii haimaanishi basi zisiwe stylish boots unaweza kuvaa boot yako kali tu incase hata jua likitoka usionekane ulivaa kwa ajili ya mvua.

Anyways wabunifu kila siku wanakuja na designs mpya, mara hii tumeona wamekuja na boots ambazo zina mini bag kwa pembeni.

Na kwa hapa kwetu Tanzania tumemuona msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja na Mtangazaji Bhoke Egina wakiwa wamevalia viatu hivi.

Wakati Dogo Janja yeye akiwa amevalia boots hizi na Denim on Denim outfit, bhoke yey aliamua kuwa sexy akiwa amevalia slit leather skirt na bodysuit, tumependa tunachokiona.

#afromates tupe thoughts on zako kwenye hizi boots je zina worthy kuwa kwenye kabati lako?

Related posts