Fanny Packs zipo on trend kwa sasa karibu kila mbunifu anaebuni mapochi amebuni hivi vijipochi vya kuvaa kiunoni na inaonekana watu maarufu wengi wana vipenda tumesha wahi kuviona kwa watu ni kama

Kendall Jenner

 

Kourtney Kardashian 

na kwa wavulana tulimuona Asap Rock akiwa amevalia kijipochi hiki

Kwa Tanzania tumemuona Dogo Janja akiwa amekivaa inaonekana Dogo ana chukulia kwa umakini muonekano wake siku hizi tumeona akiwa ana pendeza mara kwa mara na sasa tunaona anaanza kwenda na trendy

Dogo alivaa hiki kijipochi kama cross begani cheusi akiwa ame match na hat na suruali nyeusi

wakati juu alivaa hii shirt kubwa ya njano (inaonekana kama ya kichina) 

na raba za gold wakati akimalizia kwa accessories miwani, bracelets, mikufu na pete 

huyu kaka pembeni uake nae amevaa fanny pack ya blue Je mme penda Dogo alivyo vaa trend hii?