SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Spotted Rayvany Na Billnass Wakiwa Wamevaa Balenciaga Ugly Sneakers
Mitindo

Spotted Rayvany Na Billnass Wakiwa Wamevaa Balenciaga Ugly Sneakers 

Ugly shoes zimekuwa ziki-trend kwa muda sasa, watu maarufu wengi wameonekana kupendezwa nazo na kuzivaa from the Kardashian’s, The Hadid’s, Jaden Smith na wengine wengi wengi wamevaa viatu hivi kwa Africa tuliwaona watu maarufu kama Toke Makinwa akiwa amevivaa

Hivi karibuni tumewaona wasanii wawili wakiume wa bongo flava wakiwa wamevalia viatu hivi, Vinaitwa Balenciaga triple S trainers na vinauzwa £ 615 sawa na Tzs 1,845,553.50, 

Msanii kutoka katika kundi la wasafi Rayvanny yeye alivaa viatu hivi akiwa amestyle na tee ya blue na suruali nyeusi akiwa amemalizia muonekano wake na accessories ndogondogo kama mikufu, saa, pete na miwani.

Wakati Billnass yeye alionekana akiwa amevivalia viatu hivi na suruali yenye rangi nyeupe na nyeusi (draft) akiwa amemalizia na t-shirt nyeusi na jacket na accessories kama kofia na mkufu.

Well mates are you feeling the shoes?

Related posts

3 Comments

 1. Oregon shroom dispensary

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-rayvany-na-billnass-wakiwa-wamevaa-balenciaga-ugly-sneakers/ […]

 2. 다시보기 사이트

  … [Trackback]

  […] There you can find 26226 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-rayvany-na-billnass-wakiwa-wamevaa-balenciaga-ugly-sneakers/ […]

 3. https://www.kirklandreporter.com/reviews/phenq-reviews-fake-or-legit-what-do-customers-say-important-warning-before-buy/

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-rayvany-na-billnass-wakiwa-wamevaa-balenciaga-ugly-sneakers/ […]

Comments are closed.