Mara ya kwanza sisi kuiona hii bag ilikuwa katika DIOR S/S 2018 runway show tulivyoiona moja kwa moja ikatupa feeling ya khanga fulani japo Dior wenyewe wanasema wamekuwa inspired na Mexican crafts,
ni tote handbag ina faa kwa matumizi ya kusafiria lakini pia kubebea vitu vyako au kwendea beach, let us tell you celebrities love this bag. Tumewana wengi wakiwa wamelibeba na mmoja wapo ni mwanadada Tiwa Savage,
Tiwa yeye alilibea akiwa ameenda kwenye mahojiano akiwa amevalia track suits na sneakers, well Tiwa we see you, hili bag ni embroidery unaweza kuandikiwa jina lako au kukawa na jina la Dior, Tiwa yeye ameamua wamuekee jina lake.
Linauzwa EUR 2100 sawa na pesa za kwetu 5,608,288.09/- na tumesha muona msanii mkubwa Rihanna akiwa amebeba bag hili
Kama umelipenda na ungependa kununua ingia hapa kwenye website yao dior.com
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-tiwa-savage-akiwa-amebeba-dior-book-tote-bag-lenye-thamani-ya-5608288-09/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 95153 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-tiwa-savage-akiwa-amebeba-dior-book-tote-bag-lenye-thamani-ya-5608288-09/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 37772 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-tiwa-savage-akiwa-amebeba-dior-book-tote-bag-lenye-thamani-ya-5608288-09/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-tiwa-savage-akiwa-amebeba-dior-book-tote-bag-lenye-thamani-ya-5608288-09/ […]