Muigizaji mzuri kabisa na slayer kutoka Nigeria mwanadada Donto Dikeh amekuwa akiongelewa sana week hii na page kutoka Nigeria kutokana na kuvaa hii t-shirt ya Fendi ambayo inasemekana ni fake. Well wakati hayo yakiendelea sisi tulispot viatu alivyovaa ambavyo vimetoka kwa brand mbili kubwa ambazo ni Gucci na Sega, viatu hivi vilikuwa debuted mwezi wa pili mwaka huu katika Gucci’s FW18 runway show.
Viatu hivi vina urembo wa kama stones kwa juu ( bejeweled), na vinaweza kuvaliwa na jinsia zote za kike na kiume. Vinakuja katika rangi tofauti tofauti kama nyeusi na kijani, na nyeupe na khakhi. Bado havijaanza kuuzwa hata kwenye blog ya Gucci lakini inavyo semakana range yake ni $1,430 sawa na Tzs 3,261,258.
Tonto yeye alivaa vya rangi ya khakhi vyenye strap nyeusi na vimekuwa jeweled na stones nyekundu, amevalia viatu hivi na hio t-shirt ya Fendi inayo semekana ni fake na fendi strap bag.
Amemalizia muonekano wake na a cute leather min skirt na burgundy lipstick
Viatu vinakuwa released na kuanza kuuzwa July mwaka huu. Well tuambie umevipenda au lah?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-tonto-dikeh-akiwa-amevaa-gucci-x-sega-kicks-zenye-thamani-ya-3261258-00/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-tonto-dikeh-akiwa-amevaa-gucci-x-sega-kicks-zenye-thamani-ya-3261258-00/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 42652 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-tonto-dikeh-akiwa-amevaa-gucci-x-sega-kicks-zenye-thamani-ya-3261258-00/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-tonto-dikeh-akiwa-amevaa-gucci-x-sega-kicks-zenye-thamani-ya-3261258-00/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-tonto-dikeh-akiwa-amevaa-gucci-x-sega-kicks-zenye-thamani-ya-3261258-00/ […]