Vanessa Mdee A.K.A Mr Akinosho au Mama Seven amaetupia picha yake katika mtando wa Instagram akiwa anatembea na mwanae Seven huku akiwa amevalia white top, distressed jeans na kumalizia muonekano wake na glasses pamoja na green platform heels.

Kwasasa platform heels zinatrend sana watu maarufu mbalimbali wameonekana kuzivaliwa akiwepo mwanamuziki Beyonce, Tiwa Savage na wengine wengi.
Kama hizi platform heels zinatoka katika brand ya Vercase basi zinauzwa Usd 1,161 sawa na Tsh 2,700,538.20. Lakini pia zipo kutoka kwa brand nyingine ambazo zinafika hadi 600,000.

Anyways katika ku-swipe kwetu Vanessa alionyesha upclose ya hivi viatu ambapo imetufanya tuwaze Je, ni mguu mdogo au kiatu kikubwa? Afromates tuambie nyinyi mnaonaje?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-vanessa-mdee-in-platform-heels-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-vanessa-mdee-in-platform-heels-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-vanessa-mdee-in-platform-heels-trend/ […]