SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Spotted Victoria Kimani, Vanessa Mdee In Track Pant Trend
I'm A Celebrity

Spotted Victoria Kimani, Vanessa Mdee In Track Pant Trend 

Track Pant zimekua zikitrend kwa muda sasa, kuanzia fashion bloggers, fashionista’s watu maarufu mbalimbali wamekua wakirock hii trend,

tunaweza kusema track pant are new leggings, na tumeipenda hii trend unaweza kuvaa na chochote lakini mostly ni kwamba track pant are so comfortable. Kwa East Africa tume waona watu maarufu hawa wakiwa wame rock hii trend

Victoria Kimani kutoka Kenya yeye ame rock track pant na vest nyeusi,bomber jacket inayo fanana na track pant yake amemalizia na raba nyeupe huku akiwa amesukia neon hair na kuaccessorize na leopard choker na miwani

Mwingine kumuona nayo hii tend ilikua our own Vanessa Mdee yeye alichagua black, white & red track pant amevalia na vest nyeusi, colorful shoes amemaliza muonekano wake na straight hair na miwani wana sema less is more.

Lakini pia si hao tu walioonekana kuvutiwa na trend hii kuna queen Darleen kutoka WCB amabe yeye alivaa black & white track pant,ameivaa na fringe top huku akiwa amemalizia muonekano wake na big earrings na bangili

 

Alikua na style mbili ya kuvaa ambapo mwanzo alivalia Balenciaga Raba na mara ya pili amevalia cage heelsĀ 

Wa mwisho ni mwanamuziki kutoka hapa hapa bongo nae anaitwa rucky beby ambae yeye alivaa track pant nyeupe/maziwa yenye mistari myekundu huku akiwa amevalia na blazia yenye rangi sawa na track pant yake, ombre hair ame accessorise na body chain, bangili, saa huku akiwa amemalizia muonekano wake na open heels.

haya tumeona jinsi celebrities wetu walivyo style track pant swali ni je nani ame trash the trend na nani ame rock the trend kati yao? tuachie maoni yako katika box la comment

Related posts

3 Comments

  1. marijuana dispensary

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-victoria-kimani-vanessa-mdee-in-track-pant-trend/ […]

  2. find more information

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-victoria-kimani-vanessa-mdee-in-track-pant-trend/ […]

  3. buy weed online mississauga

    … [Trackback]

    […] There you will find 74722 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/spotted-victoria-kimani-vanessa-mdee-in-track-pant-trend/ […]

Leave a Reply