Sisi huwa tunasema rock that one/two statement piece ambayo itaiba attention ya outfit yako na kufanya chenyewe kiongelewe sana kuliko outfit yako especial kama its a lazy day, fashionistas wengi ndivyo wanavyo fanya unaweza kukuta amevaa a normal outfit lakini akaongezea na statement handbag, shoes au accessories hii inafanya your outfit kupop.
Well tumekutana na hii handbag amebeba fashionista Chic Ama and we are crazy over it, inaitwa box clutch chandelier bag, ni very dramatic lakini ni nzuri kama una attend event mbalimbali huwezi beba hii handbag mtaani please utafagia barabara za Tanzania.
Inauzwa $250 sawa na 550,000 yes inaweza kuwa Kodi ya pango ya mwezi au miezi miwili but this bag is too beautiful to ignore,
Inakuja kwa rangi mbali mbali, gold, black, silver etc
kama unaenda kwenye event na unataka kuvaa simple jaribu kutafuta kitu ambacho kitafanya outfit yako isiongelewe ila kiongelewe chenyewe, kama umeona the bag fulani amebeba? au kiatu amevaa? na watasahau hata kama ulivaa ngu nyeusi katika white party
unaweza kuingia hapa kununua handbag hii istylebysonia
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…