SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Stella McCartney Atumia Kitenge Katika Spring/Summer 18 Collection
Mitindo

Stella McCartney Atumia Kitenge Katika Spring/Summer 18 Collection 

Paris Fashion Week bado inaendelea na wabunifu wanaendelea ku debut collection zao, Jana mbunifu Stella McCartney ame debut collection yake ya spring/summer 2018 ambapo katika collection hio ametumia material mbali mbali kikiwepo kitenge pia, yes kitenge. Tumeona wasanii wengi wakiwa wanatumia vitenge katika Video zao tuna weza kusema its officia we are taking African print to the world

Hii ni big step kwetu sisi wa Africa imagine unavaa designer staff ina touch ya your own culture, it feels nice

kitenge romper x denim coat

one shoulder kitenge dress

off shoulder kitenge dress

Click hapa kuangalia collection nzima ya Stella, kisha tupe maoni yako kuhusu hili

Related posts

2 Comments

  1. Click Here

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stella-mccartney-atumia-kitenge-katika-springsummer-18-collection/ […]

  2. live cam free bbw

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stella-mccartney-atumia-kitenge-katika-springsummer-18-collection/ […]

Leave a Reply