SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

STELLA MCCARTNEY SHOES ZINAVYO TREND KWA SASA
Mitindo

STELLA MCCARTNEY SHOES ZINAVYO TREND KWA SASA 

Vaitu vya Stella Mccartney vime onekana kuvaliwa sana kwa sasa, kila fashionista anaejua kwenda na wakati ana hii pear ya kiatu. Hivi viatu ni kama Raizon lakini vyenyewe wame vi style kidogo wame badilisha sole, wavipa muonekano wa tofauti na unao endana na wakati wa sasa.

Stella-McCartney-Elyse-Star-Platform-Shoes

Tume waona watu kama Rihanna, Karrueche, Cardi B na wengine wengi wakiwa wame vaa viatu hivi. Unaweza kuangalia jinsi walivyo vistyle

8-fashion-bomb-daily-Kat-Morgan-Cardi-B-667x1000

Cardi B ame vivaa na jumpsuit

Karrueche-Tran-Vulkan-Magazine-7-667x1000

Kae yeye alivivaa na suruali na blouse akiwa katika cover ya gazeti la VULKANrihanna-nyc-stella-mccartney-platforms

 

Rihanna shows some leg while out shopping at Alice and Olivia in West Hollywood. Pictured: Rihanna Ref: SPL935797  260115   Picture by: Deano /Brewer / Splash News Splash News and Pictures Los Angeles:310-821-2666 New York:	212-619-2666 London:	870-934-2666 photodesk@splashnews.com
RIRI anaoneka kuvipenda sana hivi viatu ame vivaa mara nyingi kwa namna tofauti tofauti
 

13413426_639998606150056_698414972_n

Kwa Tanzania yumemuona mbunifu bijoux trendy akiwa ame vivaa viatu hivi na yeye pia ame vistyle mara nyingi lakini hii ndio tuliipenda zaidi

Related posts

1 Comment

  1. counseling san diego

    … [Trackback]

    […] Here you can find 51928 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stella-mccartney-shoes-zinavyo-trend-kwa-sasa/ […]

Leave a Reply