SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Straight From Work To Valentine Date Outfit Ideas
Mitindo

Straight From Work To Valentine Date Outfit Ideas 

Valentine Day ni siku ya wapendao ambapo wengi wetu huwa tunachukua muda kutoka na tuwapendao, bahati mbaya mwaka huu siku hii imeangukia jumatatu ambayo ni siku ya kazi, kutoka kazini urudi nyumbani kujitaarisha ni mtihani mwingine, foleni utafika umechelewa na unaweza kughairi date yenyewe, lakini kuna outfits ambazo unaweza kuvaa kisha ukatoka na kuongezea vitu vichache unavyoweza kuvibeba kwenye mfuko/handbag na ukaenda kwenye date yako kama kawaida.

Red Suit

Kama ni mpenzi wa suit basi namna rahisi ambavyo unaweza kufanikisha hili ni

kwa kuvaa na bralette ndani ya suit yako

ukitoka jioni unafungua vifungo vya suit au unatoa kabisa coat
kunja suruali chini kupata casual loo
paka bold lipstick

Red Pencil Dress

Pencil dress ni vazi zuri ambalo unaweza kuvaa kazini na ukaenda nalo kwenye date, hapa unaweza kuvaa plain na viatu vyako kama kawaida au ukaongezea na blazer ukaenda kazini, ukitoka unaweza kuongezea belt, statement earrings, viatu virefu, mkufu etc inategemea na upo comfortable na kipi na style yako.

Jumpsuit

Inaweza kuwa red au color yoyote ya chaguo lako, unaweza kuvaa bila accessories ukiwa kazini na ukitoka ukaongezea vinogesho vitakavyo nyanyua muonekano wako ukakaa ki-usiku na ki-date zaidi mfano: Clutch, Mkufu, Hereni, Bangili etc

Stylish Skirt

Related posts

2 Comments

  1. สล็อตเว็บตรง 2023

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/straight-from-work-to-valentine-date-outfit-ideas/ […]

  2. ufabet365

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/straight-from-work-to-valentine-date-outfit-ideas/ […]

Comments are closed.