SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

STREET STYLE: PAJAMA TREND
Mitindo

STREET STYLE: PAJAMA TREND 

Inawezekana ndio ukawa mtindo rahisi kuliko mitindo yote yaani ni effortless, kwanza kuna kila aina ya za pajama na ni jinsi ya wewe kuzi style tu pia hazi hitaji mi kiki mingi unaweza uka vaa simple na uka pendeza,

tumeona watu maarufu wengi wakiwa obsessed na trend hii ya pajama watu kama Rihanna, Jessica Alba, Selena na wengine wengi wameoneka waki penda mitoko hii, tuone tu ni jinsi gani unaweza kuvaa pajama katika mitoko mbali mbali

wiz-khalifa-600x800

Club Wizzy Khalifa ana tuonyesha ni jinsi gani unaweza kuvaa pajama club ambapo yeye amevaa pajama tofauti tofauti na all stars chini, simple.

jessica-alba-74c2dcf9-6e0e-41d5-af54-d1f0ec77a9e9

67d92895207ba132191062914b335eb39958b6d6.jpg.cf

Dinner (chakula cha usiku) Jessica Alba juu na Naomi Campbell wana tuonyesha jinsi ambavyo unaweza kuvaa pajama na ukatoka nazo kwenda kula chakula cha usiku na marafiki au watu mbali mbali

slide_218615_839161_free

Red Carpet Rihanna amevaa pajama kwenye red carpet na hatuwezi kusema haja pendeza kwa maana ame pendeza simple.

1407889036145_Image_galleryImage_Pop_star_Rihanna_wearing_ kourtney-june-2014-soho

unaweza kuvaa pajama ukiwa na mitoko na marafiki zako mchana au hata kwenda nazo movies usiku na Rihanna na Kourtney Kardashian wame tuonyesha jinsi gani unaweza kuvaa pajama katika mitoko hio.

Related posts

4 Comments

 1. additional info

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/street-style-pajama-trend/ […]

 2. Source

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/street-style-pajama-trend/ […]

 3. SIMPLEPLAY ค่ายสล็อตแตกง่าย เว็บตรง อันดับ 1

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/street-style-pajama-trend/ […]

 4. ซื้อหวยออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/street-style-pajama-trend/ […]

Leave a Reply