SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Street Styles We Spotted At South Africa Fashion Week (SS18)
Mitindo

Street Styles We Spotted At South Africa Fashion Week (SS18) 

Linapokuja swala la Fashion Week kwa baadhi ya Nchi huwa wanachukulia serious sana, hasa kwa wale ma-fashionista, wanamitindo, wabunifu na wapenda fashion kwa ujumla. Huwa wanajiandaa vilivyo kama tunakumbuka mwaka jana ilianza na kishindo na kuisha vizuri kabisa maana kila mpenda mitindo alitaka kutuonyesha jinsi ambavyo yupo vizuri katika mitindo

tume spot mitoko michache kutoka kwa walio attend katika event hii day 1 & day 2

Fashionista Mbali Nxumalo, akiwa amevalia Zara Track Suit ya grey na mustard, amemalizia muonekano wake na clack boots alizo match na belt, pink handbag aliyo match na lipstick ila ku-make a statement akavaa na poncho ya mustard ambayo imemfanya a stand out.

Tracksuit: @zara
Poncho: @fashiondashcouture .

Couples that’s slay together stay together  @omuhlegela@kat_sinivasan

Itumeleng SOLAR Modise youtuber kuoka South Africa yeye aliamua kuwa all red, Lady In Red

 

TV Personality/MC Brand Creative/Strategist REEBOK S.A Ambassador MAYBELLINE Global IT Girl, Naomi Noinyane yeye aliamua kuchagua pink & black outfit which went well with her skin tone.

Fashion lover Tshepi Vundla yeye alichagua a high waist red trouser akamalizia muonekano wake na black pumps, black top na black clutch huku akiwa ametupia a shawl ( classy)

tutakuletea nyingi lakini kwa sasa tuambie outfit ipi imekuvutia zaidi kati ya hizo tano.

Related posts

1 Comment

  1. ufabet

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/street-styles-we-spotted-at-south-africa-fashion-week-ss18/ […]

Comments are closed.