SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Style Blogger Azure Kange Ametupa Tips Za Kustyle Mavazi Ya Ofisini  Katika Mwezi Ramadhani
Mitindo

Style Blogger Azure Kange Ametupa Tips Za Kustyle Mavazi Ya Ofisini Katika Mwezi Ramadhani 

Tukiwa tunaelekea katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, tumemtafuta style blogger Azure ametupa tips chache za nini uvae au uwe nacho katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, ni matumaini yetu utapata mawili matatu ya kukusaidia

Afroswagga – Tuambie must have’s au essentials za kuwa nazo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

AzureAs many stara outfits as one may have (meaning, maxi dresses, skirts, pants, long sleeve tops etc..) katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, a.)Abaya au wengine huita baibui is a must have. Japo moja tu. b.) hijab au scarves specifically ya white,black and beige. These colors go with almost everything. Sio lazima mtu awe na hijab za kila rangi, ukiwa na atleast hizi rangi tatu then you’re good to go. c.) Bubuu. Like an abaya bubuu pia mtu awe nalo atleast moja au mawili.

Afroswagga – Wengi wanapata shida kustyle mavazi ya stara kazini tupe tips chache ambazo unaweza kutumia katika kustyle mavazi ya ofisini

Azure –  Do not stick to dark colors and plains. Be vibrant, wear prints, patterns, wear colors to work. For those working in a corporate environment, regardless the colors that you’re required to wear, unaweza kuvaa prints and patterns in those colors that you can wear to work. Prints ni kama vile, maua, njugu (floral, polka dots. N patterns ni kama, stripes, plaid, check,ginghamSi kila pahala utaenda umevaa baibui at times utataka au itabidi ubadili muonekano then bubuu is the way to go. Bubuu, dera, gudeli they all fall into the same category kinacho tofautisha ni design za mishono

Also, always have one statement piece in your whole outfit each day. Iwe ni top/ shirt, skirt/ pants, shoes, bag or hijab. Make sure una kitu kimoja cha ku-slay and make your whole outfit be a woooow

Kama skirt yako ni midi/pants unaweza kuvaa na socks zile nyepesi or za fishnet to coverup but also be a little dramatic and spice up your look.

 

Afroswagga – Kwa upande wa hijab, ni style zipi ambazo msomaji anaweza kufunga akaonekana vizuri lakini pia corporate

AzureKwa hijab, first ni material za hijab. Hijab nzuri za kufunga kwa mtu wa Kazini ni za Material ya mpira na silk. These two materials, zinakaa vizuri na pia hazitelezi kike the other materials. 
Kwa style ya ufungaji I recommend mbili. Moja ni turban but style kwa mwezi huu itapendeza endapo nguo iliyovaliwa ni turtle neck(pull neck) au ina collar ya kichina.

Style nyingine ni hii ya kawaida ya kuzungusha mtandio. Ili upate a chic stara corporate look, then usifunge mtandio ukawa mrefu kupitiliza kifua. Inapendeza zaidi ikiwa na urefu wa wastan. Meaning that, ifunike shingo, idondoke kifuani ila usizidi usawa wa matiti. 
Na ikiwa siku amevaa blazer au blouse yenye urembo singoni or kifuani then akichomekea hijab yake pia inapendeza. Atachomekeaje hijab? Afunge ushungi kwanza then avae blazer/ blouse yake kwa juu.

Afroswagga – nini cha ku-ignore mwezi huu wa Ramadhani hasa upande wa corporate outfits

Azure – Kitu cha ku ignore katika mwezi huu mtukufu ni yake mavazi yote yanayoonesha maumbile yetu haswaa yake yanayobana. Mtu aweza kuwa na skirt ndefu or pants lakini zikawa body hugging. Hizi tuzi ignore kwa sasa.
There’s a post on my blog with that tip and relevant pics.

 Afroswagga – Chochote ambacho ungependa kushare na wasomaji wetu upande wa fashion na style
Azure – Kwanza, showing off so much skin doesn’t signify style or being fashionable. You can still be stylish and fashionable and maintain modesty. 
 
If you are into trends then one tip, make sure the trend reflects your personal style. And always wear chenye kinaendana na your body type and size. This to avoid embarrassing yourself and being ridiculed by the society
But also to avoid traumatizing your audience.
 
And lastly, being fashionable and stylish begins with being comfortable in your own skin. Being confident in the body type and size that you’re blessed with, otherwise no matter what you wear you’ll look good and feel good in it because you lack that confidence. And after all no one looks at what size you’re wearing in that outfit but how confident you are in your body size, type, and outfit. It doesn’t matter what’s trending, always wear what you feel comfortable with.
Unaweza kutembelea blog yake hapa – azure.bomboogalway.com

na kumfollow instagram hapa – azurekange

Related posts