Stephanie Omowunmi Eniafe Coker unatakiwa useme jina lake lote kwa sababu ana deserve fashion respect ni muigizaji na Vlogger kutoka Nigeria, Sisi tunamjua kama moja kati ya slayers waliopo Nigeria ukiongelea kuhusu wapaniaji na yeye yumo, Hana dogo.

leo amekuwa style crush wetu, tunapenda jinsi anapendeza akiwa casual, corporate au redcarpet

ni moja kati ya watu maarufu wa kuwaangalia unapo waalika kwenye sherehe yako, unahitaji kujiandaa hasa otherwise atakufunika mwenye sherehe

We love her style

Je unadhani kuna actress yupi bongo anaye kuwa anamkalibia Stephanie Kuslay?

 

Comments

comments