SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Style Crush- Tiwa Savage
Mitindo

Style Crush- Tiwa Savage 

Tiwatope Savage-Balogun a.k.a Tiwa Savage ni mwanamuziki,muandishi na muigizaji, just like her name Tiwa Savage ni savage linapo kuja swala style & fashion, ni moja kati ya wasanii ambao tunaamini wakiharibu ni mara moja kwa mwaka, she is a perfectionist ana penda nywele zake ziwe nzuri, makeup on point na mavazi yawe style vizuri. Tumejuaje? scrolling down on her Instagram page.

You dont want to meet her katika red carpet, she always into something new, new designer, new stylist ndio maana ana kuwa unique mara kwa mara. Hii crystal tassel dress ilikuwa designed special for her na alivaa kwenye tuzo za Afrimma 2017 ( a little secret she revealed alilazimika kuvaa hii gauni bila ya pants ndani, well glad she managed well no wardrobe malfunction)

You don’t want to meet her as a wedding guest either, hii ilikua harusi ya Bank W & Adesua, ambayo ilikiki sana siku zilizo pita, alivaa hii stylish pink dress.

mzuri pia katika rangi she can go colorful nicely, tumpenda jinsi alivyo vaa hii satin pajama style, na platinum blonde hair.

Hasahau roots zake pia mara moja moja huwa anavaa kitenge, lets say amen kwa hii combination. tumependa alivyo match color za kimono na suruali za kitenge na hio shirt.

Taking yellow to a whole another level 

striped trend

 

 

She can rock any hair from blonde, brunette, red & black.

kama ambavyo tulisema mwanzo she is a perfectionist, always nywele zake zipo well done, her makeup on point na dressed well. Tumependa jinsi ambavyo amekua styled with this killer short dress & her hair  & make up.

she is our today’s crush tuambie outfit ipi imekukosha sana?

Related posts

2 Comments

  1. 裏 垢 まとめ

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-crush-tiwa-savage/ […]

  2. health tests

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-crush-tiwa-savage/ […]

Comments are closed.