SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Style Evolution: Celine Dion Na Style Zake
PARIS, FRANCE - JULY 09: Singer Celine Dion is seen on July 9, 2017 in Paris, France. (Photo by Marc Piasecki/GC Images)
Mitindo

Style Evolution: Celine Dion Na Style Zake 

Celine Dion ni mwanamuziki lakini pia ni mfanyabiashara ambae anatokea Canada, well sote tunamjua kutokana na nyimbo zake za slow kama My Heart Will Go On, I’m Your Angel na nyingine nyingi. Ukiongelea wakongwe katika Tasnia ya muziki kwa wenzetu huwezi kukosa kumtaja ana miaka 49 kwa sasa hivi na tunaweza kusema Celine ana tuprove kwamba age is just a number.

Ukiongelea improvement kwenye style zake (mitindo) lazima tuseme mwaka huu Celine yupo katika zile top 10 za ambao wanafanya vizuri iwe mtaani tu yaani street style au kwenye sherehe na red carpet she is a show stopper.

Tuone mapinduzi yake

Celine akiwa amevalia denim coat ( a must have kwa miaka hii) hii ilikua mwaka 1987, t-shirt nyeupe, blue leggins na socks na flat white sneakers well unaweza kuvaa pia mwaka huu ikumbukwe fashion za zamani zinarudi.

Patched Trouser (zimerudi pia na zipo kwenye trend kwa sasa) well Celine akikuona nayo sasa ana weza kukwambia Did & Done That way before you were born

Sequin Dress & Choker wengi tunazo hizi kwenye makabati yetu Celine alisha wahi kuvaa miaka hio katika red carpet ya Tuzo za Oscar

Tulishangaa Rihanna alivyo vaa ile suit kubwa mwaka huu lakini guess what? Celine alisha wahi kuvaa suit inayo fanana na ya Riri tena aliivaa mbele nyuma mwaka 1999 we must say Celine did enjoyed her youth

Hatuwezi kusema Celine hakuwepo miaka ya katikati hapo alikuwepo lakini kidogo hakufanya vizuri mpaka mwaka jana 2016 alipo rudi baada ya kutoka kwenye msiba wa mumewe and we have to say the girl is back

na hizi ndizo tulizo zipenda mwaka huu

ambacho tunaweza kusema ni respeck Celine’s name.

Related posts

3 Comments

  1. therapist montclair

    … [Trackback]

    […] Here you will find 43044 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-evolution-celine-dion-na-style-zake/ […]

  2. Buy Denmark medicine

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-evolution-celine-dion-na-style-zake/ […]

  3. เสาเข็มไมโครไพล์

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-evolution-celine-dion-na-style-zake/ […]

Leave a Reply