SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Style Evolution – Rihanna Style Evolution
Mitindo

Style Evolution – Rihanna Style Evolution 

Ukiuliza nani ni style icon au fashion killer duniani kwa sasa bila kufikiria mara mbili jina la Rihanna litatajwa, Rihanna amekuwa akifanya vizuri sana upande wa fashion kwa miaka hii ya sasa, sisi tunamuita kinyonga ana badilika kila rangi na kila kitu kina mpendeza lakini swali ni je Rihanna likuwa hivi miaka yote? Kwa wenzetu wa sasa wanamjua kupitia nyimbo zake za sasa kama Work Work Work, Bitch Better Have My Money Etc lakini je mna mjua Rihanna wa Pon De Play? Rihanna wa Take A Bow au Rihanna wa S.O.S? leo tunakuletea Rihanna toka anaanza mpaka sasa

2005 Rihanna alikuwa bado mdogo kipindi hiki kama ana miaka 18/19 hivi na kama wasichana wengine Rihanna alikuwa ana pendelea kuvaa Baggie jeans, cropped tops, hoop earrings, trainers etc Kawaida.

 

2006 hii alikua a sweetheart alikua ana jaribu ku win peoples hearts (we guess)

2007 hii alitoa Umbrella & sote tunajua the video alikuwa a bit crazy na ndio alikuwa anakua so hapa alikuwa ana jaribu kuwa mdada

2008 ilikuwa all about her hair huu mwaka kila mtu alikuwa ana shonea weaving ana ficha jicho moja na ilikuwa ina itwa Rihanna hair style tunaweza kusema tulianza ku fall in love na muziki wake, zikaja nywele na sasa ni Fashioon

2011 ulikuwa mwaka wetu pendwa Rihanna alirudi kuwa yeye baada ya incident yake na Chriss Brown na huu mwaka ulikuwa a dare kwake colorful hair, mavazi yalibadilika akaanza kuvaa as a woman that she is

2014 Rihanna served us life, alikuwa talk of the town katika red carpet zote alizo attend

2015 red carpets zilikuwa moto pia, tunaweza kusema kuanzia mwaka 2014 Rihanna amekua all about fashion (dressing well & daring)

 

2016 alianza ku earn jina la fashion icon sababu ya bold fashion zake fashion brands kufanya nae callable etc

2017 na bado haija isha tumeshaona vingi kutoka kwake zikiwemo over size outfits zilizo trend sana

Tunaweza kusema Rih’ ni true definition ya style icon unaweza kuona alivyo anza mpaka hapa alipo na jinsi alivyo badilika… tungependa kuona hii na kwa wasanii wetu Africa. Kwa style evolution ya Celine Dion bonyeza hapa

 

 

Related posts

3 Comments

 1. buy guns online

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-evolution-rihanna-style-evolution/ […]

 2. psilocybe aztecorum colorado

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-evolution-rihanna-style-evolution/ […]

 3. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-evolution-rihanna-style-evolution/ […]

Leave a Reply