Nyama choma Festival ni leo ina weza ikawa bado hujajua uvae nini basi afroswagga tuna kupa dondoo chache za nini uvae
Vaa crop top na skirt au kaptura ya jeans, mtindo huu ni mzuri kwa sababu hauchagui mahali kwaio kama una wasiwasi basi hili ni chaguo zuri kwako
vaa play suit una weza uka vaa na boots ndefu, gladiators, sandals fupi au hata raba upendavyo, hii ina kufanya uwe comfotable
unaweza kuvaa kigauni kifupi ambacho hakibani sana ili uwe comfortable
pia unaweza kuvaa overall
na hizi ndizo style nyingine ambazo zina weza kukufaa
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-guide-katika-nyama-choma-festival/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-guide-katika-nyama-choma-festival/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 37363 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-guide-katika-nyama-choma-festival/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 87950 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-guide-katika-nyama-choma-festival/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-guide-katika-nyama-choma-festival/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-guide-katika-nyama-choma-festival/ […]