SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Style Muse – Nuru The Light
I'm A Celebrity

Style Muse – Nuru The Light 

Anaitwa Nuru Magram a.k.a Nuru The Light tulianza kumsikia mwanzoni mwa mwaka 2000, ambapo alianza kama mwanamuziki vibao vyake ambavyo vilitamba mno ni “msela” na “walimwengu”, Nuru ukiachana na muziki alifanya modelling kidogo na sasa ni fashion blogger. Nuru ni Style Muse wetu leo kama ukitembelea blog yake nuruthelite.com huwa anapost mitoko yake mara kwa mara na mara nyingi huwa anatuvutia.

Style yake ni simple & comfortable anavaa vitu ambavyo mtu yoyote anaweza kuvaa yet ni comfortable, tulicho penda kutoka kwake ni namna ambavyo anaweza kufanya basic outfit ikawa baddie kwa kuongezea accessory na kuifanya outfit inyanyuke na kuwa level nyingine, hizi ni baadhi ya zilizo tuvutia kutoka kwake

Pleated skirt ziko so in kwa sasa unaweza kuvaa na kwenda kanisani, kazini au mitoko yako ya hapa na pale yeye amechagua pleated skirt ya brown, akavalia na see through blouse nyeusi na open heels nyeusi amekamilisha mtoko wake na big rounded earrings zilizo make a statement kwenye accessories, we love this look unaweza kuvaa ukiwa unatoka na washkaji.

Shift dress with maasai touchs

All shades of pink tumependa namna alivyo vaa different shades of pink katika mtoko mmoja bila kushout au kuwa too much.

all white with a little touch of black, polka dot’s nazo zipo in kwa sasa kama una blouse yenye polka dots unaweza kutake notes kutoka kwa Nuru ya vipi unaweza kuivaa.

Color full shift dress

Flare Skirt

Je umeonaje mitindo yake? tuambie kupitia account zetu katika mitandao ya kijamii lakini pia unaweza kutembelea blog yake hapa nuruthelite.com

 

Related posts

7 Comments

 1. betclic88

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-muse-nuru-the-light/ […]

 2. check my reference

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-muse-nuru-the-light/ […]

 3. usdt 판매

  … [Trackback]

  […] There you can find 98654 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-muse-nuru-the-light/ […]

 4. How do I get magic mushrooms in Portland?

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-muse-nuru-the-light/ […]

 5. Zkittlez Strain for sale in australia canada

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-muse-nuru-the-light/ […]

 6. Blue meanie magic mushroom

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-muse-nuru-the-light/ […]

Leave a Reply