So slayer Jokate Mwegelo na fashion stylist walikutana katika hafla iliyo fanyika week iliyo pita jumamosi ambayo ilikuwa ina wakutanisha watu mbali mbali imepewa jina la The Society, kulikua na watu mbali mbali wapiga picha, wanamitindo, stylist,fashionistas etc. Na hapo ndipo Jokate na Lavidoz wakakutana na kutupa Best Friend Goals
Tuanze na makeup na nywele, zilikua so natural perfect for day time na night time, tuliongelea Lavidoz wiki ilio pita na makeup zake neutral, tunaona kaendelea nazo. Nywele zima banwa vizuri we love us some of them
Tukija kwenye mavazi ilikuwa casual/chic tumependa kila kitu walicho vaa, Jokate alivaa off shoulder ball hands floral top (which we love love love) high waist skin jeans na brown oxford shoes ame maliza muonekano wake kwa ku accessorize na big rounded earrings saa na pete
wakati Lavidoz yeye alivaa skiry yenye mpasuo pembeni ya cream, one shoulder yellow floral top na gold & black open heels amemalizia muonekano wake kwa kua accessories na kijipochi cha gold & cream, big rounder earrings na bangili
tuambie una wapa marks ngapi?
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-stalking-lavidoz-jokate-street-style/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-stalking-lavidoz-jokate-street-style/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-stalking-lavidoz-jokate-street-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-stalking-lavidoz-jokate-street-style/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 99652 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-stalking-lavidoz-jokate-street-style/ […]