SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

STYLE TIPS ZA KUBADILISHA MUONEKANO OFISINI (MWANAUME)
Mitindo

STYLE TIPS ZA KUBADILISHA MUONEKANO OFISINI (MWANAUME) 

Kwa wakaka na hata wababa wafanyao kazi maofisini ambapo wahitajika kuvaa kiheshima na nadhifu kila siku, kwa baadhi yao imekuwa ngumu jinsi ya kupangilia mavazi ya kila siku na hata kuishia kuvaa vituko ndani ya ofisi.

Tutatoa tips mbalimali za kuweza kuubdilisha munekano wako ofisni na kuweza kupendeza wiki nzima.

 • Kwa wakaka hakikisha una suruali zaidi ya 3. Hii inasaidia kugeuka baba wa kauka nikuvae. Na nivizuri ukiwa na cadets pamoja na suruali za vitambaa ili kuswitch muonekano wako wiki nzima.

 • Kwa upande wa mashati, hakikisha una shati zaidi ya 5 and waweza switch mikono mifupi na mirefu kulingana na sheria za ofisi yako. Kuwa gentleman na nunua mshati ya cotton iwe mtumba ama dukani. Yana uimara na hayafubai mapema

 

 • Chagua rangi zisizowaka sana kukufanya kichekesho badala ya kivutio. Kwa suruali waweza opt for nyeusi, blue,brown, maroon na grey of any shades. Kwa mashati waweza go for any cool colour ukiepuka colours kama yellow, purple na baadhi ya green unless iwe imetulia, pia changanya pia mashati yenye patterns kunogesha muonekano wako wiki nzima
 • Pia kama ofisi yaruhusu ni vyema ukawa na polo tshirts ama wengi waziita form six. Hizi hupendeza ukitupia na cadet kwa chini.

 • Kwa upande wa viatu have like 3 pairs black na brown ukimix an oxford pair (chaweza kuwa na kamba au la) na Chelsea boots.

 

Hivi vyote haviitaji gharama kubwa maana hata kwa wewe unayenunua mtumbani waweza jpatia vitu venye ubora tu. Cha msingi ni kuonekana mpya na wakupendeza ofisini. Pia usisahau na deodorant maze, maana kunukia muhimu.

Related posts

2 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-tips-za-kubadilisha-muonekano-ofisini-mwanaume/ […]

 2. useful content

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/style-tips-za-kubadilisha-muonekano-ofisini-mwanaume/ […]

Comments are closed.