SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

StyleGuide – Namna Za Kuvaa Off Shoulder Trendy Na Hijab
How to Rock

StyleGuide – Namna Za Kuvaa Off Shoulder Trendy Na Hijab 

Off shoulder top, dress, blazer etc ni moja ya trend kubwa mwaka huu, na tuna dhani almost kila mtu anae penda mitindo basi ana top, gauni au chochote ambacho kime katwa mabegani, lakini kwa msimu huu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani inaonekana huwezi kuvaa nguo hizi kwa sababu utaonyesha mabega yako na utakuwa huja jistiri tena lakini je umesha wahi kufikiria nje ya box? je itakuwaje kama ukivalia na top ya mikono mirefu kwa ndani? Well kuna hijabista ambao wao wana tuonyesha namna za wewe una weza kurock this trendy huku ukiwa umevaa hijab yako

Kuna wabunifu ambao wame zibuni zikiwa zime shonewa na nguo ya mikono moja kwa moja kama picha zinavyo onyesha hapo chini hizi ni rahisi kuzivaa

Lakini kwa zile ambazo hazija buniwa moja kwa moja una weza kuona hawa hijabista walivyo zi style, wamevalia long sleeve tops kwa ndani

wengine wao walichagua kuvalia mashati

kama una mtoko una weza kuchagua gauni la off shoulder na nguo ya ndani nzuri kama hijabista huyu alivyo ji style

ni wewe na chaguo lako na jinsi unavyo taka kuvaa, lakini tu chagua rangi ambazo una weza kuzistyle na rangi nyingine pia pattern ambazo ni layering friendly kuna nyingine huwezi kuvalia na nguo nyingine kwa ndani kama zile zenye urembo mwingi.

Related posts

5 Comments

 1. their explanation

  … [Trackback]

  […] There you will find 55715 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/styleguide-namna-za-kuvaa-off-shoulder-trendy-na-hijab/ […]

 2. pay off credit card debt

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/styleguide-namna-za-kuvaa-off-shoulder-trendy-na-hijab/ […]

 3. transporte de motos

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/styleguide-namna-za-kuvaa-off-shoulder-trendy-na-hijab/ […]

 4. buy clone cards

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/styleguide-namna-za-kuvaa-off-shoulder-trendy-na-hijab/ […]

 5. see here

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/styleguide-namna-za-kuvaa-off-shoulder-trendy-na-hijab/ […]

Leave a Reply