SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

StyleTalk: Turn Heads With Statement Skirt
How to Rock

StyleTalk: Turn Heads With Statement Skirt 

Nani ame sema skirt ni vazi ambalo lipo boring? kama yupo ni bora arudishe matamshi yake mdomoni seems like 2017 nothing is boring, kila kitu kina weza kuvaliwa na kika-make statement kama tu kitavaliwa vizuri ipasavyo, mwaka mmoja au miwili nyuma usinge weza amisha kwamba unaweza kuaa skirt na ukafanya macho yote yawe kwako, Kwanini? skirts zilikuwa hazipo extra yaani ilikuwa akilini mwetu kwamba skirt ni vazi ambalo halipo excited hata ukitembea barabarani watu wanao vaa skirts wengi ni wale wanao fanya kazi maofisini,kanisani au wanafunzi wengine wote tuna chagua magauni au suruali lakini mwaka huu ume tufumbua macho

Tuambie wazo la kwanza kama ungeiona hii skirt dukani ungewaza nini? nitaivaa wapi au wazungu huwa wanavaa vitu vya ajabu lakini Blogger Crystal Kasper ambae blog yake inaitwa newhipster , Kutoka South Africa ame tuonyesha ni vipi una weza kustyle skirt hio, kuwa makini na rangi na jinsi ya kustyle kama ambavyo ameonyesha skirt yenyewe ime make statement unacho takiwa kufanya ni kuongezea shouting color yeye amechagua njano na nyekundu

Accessorize hii ni muhimu mara kwa mara huwa tunasema yeye ameamua ku accessorize na mkanda na pochi hapa chini akiwa amevaa skirt inayo endana na ya juu lakini hii layer zake kubwa kidogo amechagua nyeusi, purple na blush pink

 

Huyu wa mwisho ni Chic Ama au Chicamastyle ambae blog yake inaitwa chicamastyle, Chica yeye mara zote ana penda kuwa extra yaani kuvuka mipaka anapenda anapo ingia sehemu watu wa notice kuwa ameingia kwa hio mara nyingi style zake huwa zina shout hapa akiwa amechagua floral high low layered skirt amevaa na off shouder top, ame accessorize na gold statement choker na kijipochi cha gold pia amemaliza muonekano wake na green pumps.

Mitoko hii yote unaweza kuingia nayo sehemu mbali mbali, kwenye business meetings, sherehe, kazini (kama una penda kuwa extra), brunch na marafiki etc. kusoma style talk nyingine bonyeza apa

Unaweza kuwa follow instagram

Chic Ama – @chicamastyle

Crystal Kasper -@ newhipsterstyle

Lakini pia kutufollow sisi ni @afroswagga 

 

 

Related posts

5 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/styletalk-turn-heads-with-statement-skirt/ […]

 2. Payday Loans Canada

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/styletalk-turn-heads-with-statement-skirt/ […]

 3. 호두코믹스

  … [Trackback]

  […] There you can find 60758 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/styletalk-turn-heads-with-statement-skirt/ […]

 4. 토렌트 다운

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/styletalk-turn-heads-with-statement-skirt/ […]

 5. where to buy shrooms oregon​

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/styletalk-turn-heads-with-statement-skirt/ […]

Leave a Reply