SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

#STYLETIP1 – CHRISTMAS PARTY OUTFITS
Dondoo

#STYLETIP1 – CHRISTMAS PARTY OUTFITS 

Siku chache zime bakia kabla ya Christmas na neno Christmas tunajua nini kina fuata ni holiday season, na ikisha kuwa holiday watu ni lazima tu party kwa kulifikiria hilo sisi yours truly afroswagga tukaamua kuwaletea outfit ideas ambazo una weza katika party utakazo alikwa msimu huu wa Christmas/holiday season

sheer top & burgundy skirt – Sheer ime kuwa trend iliyo chukua miaka miwili 2015/2016 tumeona watu wengi wakiwa wame vaa sheer dresses, top, skirt etc ili ku keep in fashion & trendy katika mapumziko yako jaribu hii style. Paka lip stick ya dark iwe black au kijani na utakuwa good to go parting

hbz-holiday-list-02

The Sequin – Sequin ni choice nzuri katika party ya usiku na ni effort less lakini save the dress and swerve us na wide legs pants za sequin, max skirt au hata ki blazer cha sequin very fashionable & chic

hbz-holiday-sequins (1)

Velvet  –  Velvet dress, suit, shoes ni must have kwa mwaka huu 2016/2017 ime onekana sana kwenye run way za wabunifu mbali mbali na ukiona hivyo huwa ina maanisha kitu kimoja, the trend is here to stay. Kipindi hiki cha holiday una weza ku rock it vyovyote ila suit ni best

hbz-velvet-suits

 Red Skirt – red skirt on Christmas its a yay iwe sheer,lace au cotton, una weza kuivaa mchana au usiku

hbz-red-skirts

Tuxedo Dresses – kama una office cocktail party, get together una weza ku rock tuxedo dresses

Celebrities-Love-Tuxedo-Inspiration

LBD wit a twist – LBD ina simama kama Little Black Dress hii ni lazima kuwa nayo kwa mwanamke yoyote lakini katika party ina takiwa u stand out, vaa LBD ambayo ina nakshi ya tofauti kidogo, kama uta vaa na a dazzled shirt kama Kendall Jenner, Sequin collar au cut off shoulder kama Christine Stewart

hbz-holiday-lbd

Maoni tuandikie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Related posts