SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Styling Deconstructed Shirt For The Weekend
Mitindo

Styling Deconstructed Shirt For The Weekend 

Deconstructed fashion imerudi tena, mwaka juzi na mwaka jana katikati ilikuwepo sana tuliwaona watu maarufu kama Kendall Jenner, Rihanna, kwa Tanzania tulimuona Jokate akiwa ndani ya fashion hii, as we all know fashion come’s and go mwaka huu fashion hii imerudi tena.

Deconstructed Fashion ni kwamba mavazi yana vurugwa au kuchanganywa muonekano wake wa kawaida, inaweza kuwa kumeongezwa au kupunguzwa kitu.

Well weekend hii tunakuletea namna ambavyo unaweza ku-style deconstructed shirt yako, inspirations tumetoa kwa fashionista’s mbalimbali

Pair it with sneakers – chagua rangi ya sneaker ambayo inaendana na shirt lako kama ambavyo @adamproject, alivyofanya hii inafanya kutokuwa na rangi moja ambayo ni main color.

Strap Sandals – Kama ambavyo our girl @Lavidoz amefanya shirt yake ina stripes ambazo ni nyekundu, blue na nyeupe amechagua kuvalia na stap sandals nyekundu akamalizia na miwani na hereni kubwa.

Spice it up – kama unapenda kuonekana extra fashionable unaweza kuongezea vinogesho vingine kama ambavyo lovefromjulez amefanya kwa kuongezea a mini skirt kwa juu yenye rangi ya mustard yellow, akamalizia na viatu na bag ya nude.

Related posts