Ramadhani inaendelea na kumi la kwanza linakaribia kuisha, katika pita pita zetu tumekutana na fashionista’s wawili ambao outfit zao zimetuvutia katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani
Kama ambavyo tulisema uhitaji kutumia au kununua mavazi mapya mwezi huu unaweza kutumia yale uliyonayo ndani na kuyageuza yakakaa modest
well tuanze na Mwamvita ambae yeye alivaa two pieces kitenge outfit, ambapo alivalia na socks & heel trend amemalizia muonekano wake kwa kuning’iniza kitembaa mabegani na amefunga turban yake vizuri kabisa. Well to us huu mtoko ni classy & trendy unaweza kuvaa kazini, meetings na hata ukialikwa ftari.
Wa pili yeye ni Penniel Mngazija yeye alivaa bandage dress nyeusi ambapo alimalizia muonekano wake na blue M2 MALLETIER Bag, Denim coat ambalo alining’iniza mkononi off white & pink sneakers akamalizia na miwani na pink lipstick na some jewelries, huu mtoko ni wa casual una weza kuvaa katika matembezi kama shopping au ukiwa una meet na marafiki.
well tuambie wewe ni yupi kati ya hawa wawili leo Mwamvita au Peniel?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylish-ramadhani-outfit-kutoka-kwa-mwamvita-na-penny/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylish-ramadhani-outfit-kutoka-kwa-mwamvita-na-penny/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylish-ramadhani-outfit-kutoka-kwa-mwamvita-na-penny/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylish-ramadhani-outfit-kutoka-kwa-mwamvita-na-penny/ […]