SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Stylist, Fashionistas, Photographer & Makeup Artist Tunaotegemea Makubwa Kutoka Kwao 2019
Mitindo

Stylist, Fashionistas, Photographer & Makeup Artist Tunaotegemea Makubwa Kutoka Kwao 2019 

Tasnia ya mitindo na ubunifu yaendelea kukuwa na tumeona fashionistas, stylists, photographers, accessories designers na wengine wengi wakikuwa na kuweza kututeka na kazi zao.

Mwaka 2018,  majina yafuatayo tuliweza yaona katika kazi za mitindo, ubunifu ama kurasa za mitandao ya kijamii wakiwa na kazi nzuri katika sekta tofauti.

Ni among female fashionistas na style influencers walioweza tuteka mwaka huu. Always akiwa unique and affordable katika outfits zake na hata accessories , amweza kuinspire wadada wengi katika uchaguzi na mpangilio wa mavazi iwe ni nguo ya mtumba au dukani.

Well among fashionistas wakiume, Peter ni mmoja wao. Kama wahitaji kuwa inspired ni jinsi gani vazi la suit latakiwa kuvaliwa na kuwa fitted, he is the guy. Pia waweza mconsult kama wahitaji any idead juu ya mens’ grooming na styling pia.

 

Ni miongoni mwa stylists ambao wameweza fanya vizuri mwaka huu akiweza fanya kazi na wasanii toka WCB pia Juma Jux. Vintage outfits zilikuwa his signature alipoanza  na tulivutiwa nazo. 2019 twamuona akikua na kufanya makubwa zaidi

Katika wapiga picha in the industry waliondelea kufanya vizuri, Canny ni mmoja wao akionyesha umahiri katika maeneo tofauti iwe lifestyle, personal, fashion pia potraits. Pia tumeona kazi zake nzuri na watu mbalimbali kama Stylist JouJou, MUA Grace Malikita (Cherie Mals) na fashionista Lavidoz.

Make up artist aliyefanya vizuri sana 2018 akishinda Stara Fashion Week MUA of the year 2018, hakika kazi zake zajielezea. From simple make up to high end, Tunu is your girl. Pia ana uwezo mkubwa wakufanya the right makeup needed katika the film industry. Bravo,Tunu.

Twajua fashion yatawala sehemu nyingi na hata majumbani, maofisini na hata sehemu za starehe, twapenda kuona designs nzuri zimvutie mtazamaji ama mkaaji. Well 2018, kijana Marcel katuonyesha haya akiwa na designs mabalimbali fit for home, office na hata studio décor

Imeandikwa na @willibard_jr

Related posts

5 Comments

 1. Plantation Shutters

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-fashionistas-photographer-makeup-artist-tunaotegemea-makubwa-kutoka-kwao-2019/ […]

 2. find out here now

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-fashionistas-photographer-makeup-artist-tunaotegemea-makubwa-kutoka-kwao-2019/ […]

 3. wapjig.com

  … [Trackback]

  […] Here you can find 69884 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-fashionistas-photographer-makeup-artist-tunaotegemea-makubwa-kutoka-kwao-2019/ […]

 4. debt consolidation

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-fashionistas-photographer-makeup-artist-tunaotegemea-makubwa-kutoka-kwao-2019/ […]

 5. lyophilized goldmember magic mushrooms australia

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-fashionistas-photographer-makeup-artist-tunaotegemea-makubwa-kutoka-kwao-2019/ […]

Comments are closed.