SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Stylist Joujou Alivyo Style Grandma Shoes
Mitindo

Stylist Joujou Alivyo Style Grandma Shoes 

Grandma shoes/heels ni vile viatu ambavyo mara nyingi vinavaliwa na ma-bibi, ni zile heels ambazo kisigino chake kipana kidogo na sio kirefu tunadhani ndio maana wabibi wanapenda kuvaa maana vipo comfortable, well tumeona wabunifu mbalimbali wakidebut style hii ya viatu katika collection zao, wabunifu hao ni pamoja na chanel amabe yeye ametoa hizi sling back zenye rangi ya brown na nyeusi zikiwa na visigino hivyo.

Watu wengi walisha acha kuvaa hivi viatu na kuvipa jina la grandma shoe’s lakini stylist Joujou yeye ameona hapana kwanini apate shida kwa kuvaa viatu virefu wakati anaweza kuvistyle hivi hivi na akapendeza?

Anavipenda sana hivi vyeupe ambapo tumemuona akiwa amevi-style mara nyingi kidogo, hapa akiwa amevalia na bandage dress, ame style na belt nyekundu na kofia na clutch.

Wakati hapa akiwa ameamua kuwa kisasa zaidi amevalia na buggy jeans, blazer ndefu na lace top kwa ndani huku akiwa amemalizia kwa kubeba handbag inayo endana na rangi ya viatu

Hapa tulipenda sana alivaa viatu hivi hivi na white shirt aliyo ifunga katikati na short pants ya jeans amemalizia muonekano wake na trend earrings na ame style viatu hivi na socks.

Hapa akiwa amevivaa vya rangi nyekundu akiwa ame match na blouse yake na jeans.

Well the shoes are comfortable and if worn well they can be stylish too, tuambie kwako je ungependa kuvaa au hapana?

Related posts

5 Comments

  1. 24 hour

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-joujou-alivyo-style-grandma-shoes/ […]

  2. เด็กเอ็น

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-joujou-alivyo-style-grandma-shoes/ […]

  3. law and order mushrooms imdb

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-joujou-alivyo-style-grandma-shoes/ […]

  4. cartel oil co oklahoma

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-joujou-alivyo-style-grandma-shoes/ […]

  5. superkaya88

    … [Trackback]

    […] Here you can find 74833 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-joujou-alivyo-style-grandma-shoes/ […]

Comments are closed.