Swalha Msabaha ni mmoja kati ya stylist wanaojulikana zaidi Tanzania, Swalha katika kazi yake ya u-stylist alikuwa akiandaa matamasha kuhusu Beauty And Style, lakini pia Sip & Shop With Swalha Msabaha ambayo yote yalikuwa yanahusiana na mitindo na urembo.
Swalha amefunga ndoa weekend hii na we have to say she looked el magnifique, amevaa off shoulder dress ambayo ilikuwa na long tail, we love the simplicity yet elegant look of this dress.

Kwa sasa Swalha anakaa Nje ya Nchi lakini gauni lake limeshonwa na mbunifu kutoka Tanzania Kyamirwa ilibidi tumuulize ilikuwaje?
AF: Ilikuwaje kufanya kazi na Kyamirwa na ulikuwa mbali?
Swalha: It was made by Kyamirwa but i designed it myself. I chose the design wanted to go for a simple yet elegant look.
Af: Ilichukua muda gani?
Swalha: It took like 3 Month.
Ladies and gentlemen it took 3 month to create this simple yet elegant look, na kwa upande wa Kyamirwa alitumiwa vipimo na akafanya exactly alichoagizwa, somo la leo don’t rush the process kama unataka matokeo mazuri.
Well congrats Swalha & Kudos Kyamirwa.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-swalha-msabaha-said-i-do-in-her-own-design/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-swalha-msabaha-said-i-do-in-her-own-design/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-swalha-msabaha-said-i-do-in-her-own-design/ […]
harp background
harp background