Hivi karibuni mitizamo katika ubebaji wa mikoba kwa wanaume umebadilika, zamani kulikuwa na aina fulani za mikoba ambayo ilikuwa ikijulikana hii ni kwa wanaume na mingine ni kwa wanawake. Lakini sasa hivi yoyote anaweza kubeba chochote.
Tumeona katika fashion weeks nyingi wanaume wakiwa wamebeba handbags na hapa kwetu stylist Vaazi ameonekana kuvutiwa na trend hii, tunaamini mikoba ni accessory kama accessory nyingine, tunaongelea hereni, mikanda, mikufu, pete etc. Vaazi handbags collection is every girl goals
From see through handbags, straw handbag to tiny handbag, he make us wish we was his sibling like who wouldn’t want to share those bag?
Okay Afromates tuambie handbag ipi kutoka kwa vaazi unatamani kuwa nayo?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-vaazi-handbag-collection-is-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-vaazi-handbag-collection-is-goals/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 54502 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-vaazi-handbag-collection-is-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-vaazi-handbag-collection-is-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/stylist-vaazi-handbag-collection-is-goals/ […]