SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Suit-Ation With Zari The Bossy Lady, Wema Sepetu, Miriam Odemba And Many More
Mitindo

Suit-Ation With Zari The Bossy Lady, Wema Sepetu, Miriam Odemba And Many More 

Inaonekana suit imekuwa every ones favorite kwa sasa, kila mtu ana boss up na kutuonyesha namna ambavyo anaweza ku-rock suit yake, well tuna wadada wanne ambao wana majina makubwa tu wakiwa wamevalia suit, tumeona sio mbaya tukawaonyesha namna ambavyo wame zi-style next time ukitaka kuvaa suit uwafikirie as an inspiration,

Mwanamitindo Miriam Odemba tulim-spot akiwa amevalia hii green & black suit ndania livalia a sheer top to make it look more casual and less official, akiwa amemalizia muonekano wake na metallic open toe heels na miwani.

Wakati Zarina Hassan yeye tulimuona in mustard yellow suit, akiwa amevalia na shirt nyeupe na amemalizia muonekano wake na metallic oxford shoes, kama si mpenzi wa heels basi Zari shall be your inspiration on how you can slay suit in flat shoes

Wakati Mwanamitindo Flaviana Matata yeye aliamua kutupa a monochrome look, all white outfit, akiwa amevalia a white suit, ambayo ndani hakuvaa kitu, showing some skin akiwa amemalizia na gray & white kicks.

Upendo Shuma is all about boss vibes, akiwa kwenye blush pink by Kyamirwa. Amevalia off shoulder blush pink akiwa amemalizia na nude pumps na pearl necklace.

Wakati mwanadada Wema Sepetu yeye akiwa in magenta color suit, amemalizia na pull neck nyeusi na pumps nyeusi wakati akiwa ameaccessorize na necklace na saa, she mean business.

We hope umepata inspiration kati yao wa tano do let us know who inspired you.

Related posts

3 Comments

  1. Texas gun trader

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-ation-with-zari-the-bossy-lady-wema-sepetu-miriam-odemba-and-many-more/ […]

  2. cannabis for sale in australia free

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-ation-with-zari-the-bossy-lady-wema-sepetu-miriam-odemba-and-many-more/ […]

  3. unicvv alternative

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-ation-with-zari-the-bossy-lady-wema-sepetu-miriam-odemba-and-many-more/ […]

Comments are closed.