SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

SUIT NYEUPE NI MUHIMU KATIKA KABATI LAKO
Dondoo

SUIT NYEUPE NI MUHIMU KATIKA KABATI LAKO 

Msimu huu tumeona watu wengi maarufu kutoka ulaya wakiwa wame valia suit nyeupe lakini je suit hizi nyeupe zina umuhimu gani?

  • suit nyeupe ni rahisi kuvaa katika mitoko ya aina nyingi, kazini, sherehe mbalimbali za red carpet na hata baadhi ya party
  • unaonekana elegant na smart, rangi nyeupe huonyesha usafi na usmart wa mtu kwaio kuvaa suit nyeupe inaonyesha ni jinsi gani uko smart.
  • Ni chaguo zuri la mitoko ya ghafla, kama mtoko wa ghafla umetokea badala ya kuwaza uvae gauni lipi na kiatu kipi suit nyeupe husaidia katika swala hilo.
  • Haiitaji makorokoro mengi, ukivaa suit nyeupe unaweza kuweka staili yoyote ya nywele pia haina ulazima wa kuvaa urembo mwingi.

2

Zendaya

*EXCLUSIVE* *SHOT ON 2/24/2016* West Hollywood, CA - Singer Taylor Swift and song writer Jack Antonoff enjoy dinner together at Maia Restaurant. The music industry is still reeling from a court's decision to uphold Kesha's contract with Sony and Dr. Luke despite her claims that the producer sexually abused her. Countless celebrities have spoken out on Kesha's behalf on social media, like Demi Lovato, Ariana Grande, Miley Cyrus, and Fifth Harmony's Lauren Jauregui. But other celebs are doing more than just tweeting: Taylor Swift donated $250,000 to Kesha to help with her legal fees, and now two mega-producers are offering their services to Kesha for free. Jack Antonoff, who co-wrote Taylor Swift's hit "Out of the Woods," offered to produce and leak music for Kesha until she can get away from Dr. Luke, whom he calls a "creep." AKM-GSI         February 25, 2016 To License These Photos, Please Contact : Steve Ginsburg (310) 505-8447 (323) 423-9397 steve@akmgsi.com sales@akmgsi.com or Maria Buda (917) 242-1505 mbuda@akmgsi.com ginsburgspalyinc@gmail.com

Tyrol Swift  Who-needs-LBD

Victoria Beckham

Related posts

2 Comments

  1. therapist new jersey

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-nyeupe-ni-muhimu-katika-kabati-lako/ […]

  2. visit here

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-nyeupe-ni-muhimu-katika-kabati-lako/ […]

Leave a Reply