SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Suit Set  Zipo Kwenye Trend Na Sasa Tunazivaa Katika Rangi Za Pastel
Mitindo

Suit Set Zipo Kwenye Trend Na Sasa Tunazivaa Katika Rangi Za Pastel 

Imepita muda kidogo toka tuandike nini kinacho kiki kwenye ulimwengu wa mitindo na urembo, leo tumeona tukuletee moja kati ya trend kubwa kabisa tunayo iona huko duniani nayo ni suit set. Imekuwa muda toka tuone fashionistas wamevaa a suit complete mara ngingi huwa wanavaa labda suit coat na jeans au suit trouser au skirt na top ya aina nyingine lakini inaonekana the complete power suit is back and kicking in pastel colors.

Fashionista’s wengi wameonekana kuvutiwa na hii trend iwe skirt suit, trouser suits, short or long inavaliwa tu huko mitandaoni japo kuna patterns nyingine kama check na plaids lakini inayo trend hasa ni hii ya pastel color

Hii trend imeonekana kwa watu maarufu mbalimbali kutoka Models, wabunifu, waigizaji na wengine wengi well lets see nani kutoka wapi ameivaaje?

Bettinah Tianah Model, Digital Marketer na fashion influencer  kutoka Uganda ameonekana kuvalia trend hii ambayo yeye aliamua kuvaa hii trend in  a blue suit ambayo ilikuwa na vifungo vya gold akamalizia na pumps za gold, whoever said black girls can’t wear colors needs to reverse hi/her statement.

 

Debbie Beeko beauty na style blogger kutoka Nigeria yeye aliamua kuwa colorful kidogo kwa kuvaa hii suit ya rangi ya njano, amemalizia na hizi strap sandals za brown Melanin is pop in, spot that highlighter on her nose? life.

Hizi za pink ambazo zinabelt ndio zime trend sana hapa ikiwa imevaliwa na blogger Toyosi yeye amevaa na top ya rangi nyeusi amemalizia muonekano wake na pink & green statement earrings na heels za silver.

Well hizo za juu tulizo ziona zinaweza kuwa corparate looks, unaweza kwenda nazo kazini, business meetings au katika fashion shows depends na  ulivyo style na sehemu uendayo. lakini pia na rangi.

Hapa chini tunaweza kumuona fashion & life style blogger shewajay akiwa amevalia suit hii in baby blue lakini yeye ameivaa in more of casual chic

Lakini kama ambavyo tumesema hii trend ina valiwa katika aina mbali mbali inaweza kuwa skirt, long pants au short pants na fashionistas hawa wao waliamua kuvaa shorts na wakapendeza pia.

Kwa hapa Tanzania tulimuona Jokate na Fashionistas Lavido wakiwa wamevaa trend hii

Tupe maoni yako je kwako hii trend ni yay or nay?

Related posts

5 Comments

  1. go to this web-site

    … [Trackback]

    […] Here you will find 71704 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-set-zipo-kwenye-trend-na-sasa-tunazivaa-katika-rangi-za-pastel/ […]

  2. 感染 ソドム

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-set-zipo-kwenye-trend-na-sasa-tunazivaa-katika-rangi-za-pastel/ […]

  3. 비트코인결제대행

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-set-zipo-kwenye-trend-na-sasa-tunazivaa-katika-rangi-za-pastel/ […]

  4. bonanza178

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-set-zipo-kwenye-trend-na-sasa-tunazivaa-katika-rangi-za-pastel/ […]

  5. Where To Buy Shrooms in Portland Oregon

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/suit-set-zipo-kwenye-trend-na-sasa-tunazivaa-katika-rangi-za-pastel/ […]

Comments are closed.