The Stylist Studio, ni Studio ya wabunifu wawili Noel Gio na Rio The Stylist ambao wao wame amua kuchukua kazi yao ya ubunifu kuipeleka katika level nyingine ya kujipatia kipato, wame anzisha studio ambayo mtu yoyote mwenye uweza na kutaka kuvalishwa nao ana weza kwenda waka m’style

hizi suti wali wa style wateja wao lakini hata wewe una weza kwenda kujipatia ya kwako au kama una ya kwako una weza kujifunza jinsi ya kuistyle hapa kwa ajili ya mitoko ya kazini

blue suti, nyeupe na viatu vyeusi

blue

 

blue suti akiwa amevalia na nude top ka match na viatu vya nudenude

 

Orange suit akiwa kavalia na blouse nyeupe, gold accessories na black heelsorange

 

nyeupe na nyeusi.white