SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Suit Ya Zari Iliyoshonwa Kwa Masaa Saba
Mitindo

Suit Ya Zari Iliyoshonwa Kwa Masaa Saba 

Zarina Hassan A.K.A Zari the boss lady week iliyopita alikuwepo Tanzania kwa ajili ya kazi zake za u-brand ambassador, akiwa hapa Zari aliomba kutembelea Bunge la Tanzania ambalo linaendelea Jijini Dodoma.

Zari alivali 3 pieces suit kutoka kwa mbunifu Speshoz ambayo ilileta taharuki kutokana na kuwa haikumtosha vyema lakini pia ilionekana kushonwa haraka.

wadau wa mitindo na wengine mbalimbali waliiongelea hii suit kwamba ilikuwaje mpaka akaivaa bungeni na makosa yote hayo. Zari alichukua muda wake ku-clarify kwamba suit hii ilishonwa ndani ya masaa saba tu.

Well Afromates tuambie kwa mbunifu mkubwa kama Speshoz ni sawa kuchukua kazi ya haraka na kuharibu au bora angeskip na Zari angetafuta ready made outfit? Tupe maoni yako hapo chini kwenye box la comment.

Related posts