SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Surgery Aliyofanya Muna Love
Mitindo

Surgery Aliyofanya Muna Love 

Mwaka jana Rose Alphonce au Muna Love alitangaza kufanya surgery 11, na mwaka huu alirudi aki-serve bowd kwenye mitandao ya kijamii. Kwa bahati mbaya kwenye surgery yake ilianza kumletea matatizo ambapo ilibidi arudi hospital kuangaliwa zaidi.

Muna alitangaza kufanya surgery 11 ambapo ambazo alizisema na kutuonyesha ni dimples na lips nyingine alisema atatuambia, watu wengi baada ya kumuona tulifikiri ameenda kuongeza shape lakini juzi alionekana kukana kuongeza shape yake badala yake amesema alienda kuminya kiuno ( yaani kupata kiuno nyigu).

Kwenye Insta Story yake Muna alielezea kuhusu surgery hii inavyomletea matatizo ambapo hivi karibuni ilim’bidi kuacha kufanya photoshoot kutokana na tumbo lake kuanza kuvimba.

Kutokana na research mbalimbali inasemakana hii surgery ambayo ameifanya Muna ndio surgery ambayo ni risk zaidi,

lakini pia kuvimba tumbo ni moja kati ya matokeo ya surgery hio na ni kawaida kutokea.

ambacho anatakiwa kufanya sasa hivi ni

  • Kupumzika vya kutosha
  • Kuwa hydrated
  • Eating a healthy diet low in sodium
  • Elevating your lower legs

well tunamtakia uponaji mwema.

Related posts

1 Comment

  1. 토렌트

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/surgery-aliyofanya-muna-love/ […]

Comments are closed.