Week iliyopita mambo yalikuwa motomoto kutokana na event kubwa ya fashion kufanyika, Event ambayo inakutanisha watu maarufu wengi kutoka Tanzania ambao wanaaminika kuwa vizuri katika swala zima la fashion, leo tunakuletea review ya nani alivaa nini na maoni yetu katika mionekano yao hio je tumependa au lah? unaweza kuangalia hapo chini