Swalha Msabah ni fashion stylish na pia personal shopper kutoka Tanzania na Rwanda, kama ume mfollow Instagram utakua umegundua Swalha ni mpenzi wa vikoti na mitoko yake hio hu mpendeza sana hizi ni baadhi tu kutoka kwake zilizo tuvutia ku share na wewe, Pia unaweza kuiga

index5 index6 index2 index3 index4