SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

YSL LOGO HEELS NI MOTO
Mitindo

YSL LOGO HEELS NI MOTO 

Anthony Vaccarello ame present collection yake ya kwanza katika kampuni ya YSL katika Paris fashion weel 16, Collection hii ilikua na vitu vingi lakini kilicho tuvutia zaidi ni hiki kiatu kilicho na kisigino chenye maandishi ya logo YSL.ysl-shoesModels walipita wakiwa wame valia kiatu hichi ambacho kisigino chake kina urefu wa inch, ni pump heel ambayo ina kimkanda kwa juu na kisigino chake ndicho hicho kina maandishi ya YSL ladies mtanunua mvae au hii itawapita?14547839_1195843517154518_4987422792707211264_n

Tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Related posts