SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Tabia 6 Za Kimavazi Zinazo Zinazo Punguza Mvuto Wako
Mitindo

Tabia 6 Za Kimavazi Zinazo Zinazo Punguza Mvuto Wako 

Ladies, sote huwa tumeshawahi kufanya makosa linapo kuja katika swala la mavazi lakini kizuri ni kwamba unaweza kubadilika, wakati wa ukuaji unakuwa unajitafuta mpaka pale ambapo unakua na kujua ni kipi kinakufaa hii hutokea hata kwenye mavazi unaweza kugundua style yako ya utotoni si sawa na ya sasa.

Well leo tunakuletea tabia 6 za kimavazi ambazo unaweza kuwa unazifanya bila kujua na tabia hizi zinakupunguzia mvuto wa muonekano wako.

Cheap Material

Inawezekana unauwezo mdogo na mavazi yako ni ya bei rahisi lakini hakikisha material unazo nunua za nguo ni nzuri sio material ambazo zinaonekana kabisa ni cheap, hapa pia tunaweza kuingizia na viatu / mikoba ununuayo ina material nzuri na haija chunika, chagua rangi ambazo zimetulia na zinaweza kuingiliana na mavazi mengine kwa urahisi.

Nywele Na Makeup

Kabla ya kutoka nyumbani hakikisha nywele zako na makeup ziko vyema, kumbuka wewe sio mtu maarufu huitaji 3D eye lashes uonekane mtaani kama unataka kuruka au ma wig yabei ghali, achana na mawig yasiyo na material nzuri au ma nywele ya rangi rangi, unachohitaji ni kuhakikisha nywele zako safi kama umesuka au umechana vyema mkeup yako simple vi mascara na lipstick vya hapa na pale kuupa uso wako nuru na kama hutumii makeup hakikisha umepaka lotion yako vizuri.

Quality Undergarment

Unless uwe umefanyiwa surgery hivi karibuni kama si hivyo hakuna sababu ya wewe kuvaa body shapers au waist trainers public, tafuta undergarment nzuri kuna under wear na tights ambazo ni high waist zina kushape tu vyema sio lazima ujibane uonekane una umbo no 8 wakati unatesa utumbo na maini tumboni

Invest in High Quality Jewerlies

Yes sio wote tunaweza ku-afford Tanzanite au Gold lakini haimaniishi tuvae vitu ambavyo quality yake mbaya na ukinyeshewa na mvua tu vimepauka, hakikisha una jewerlies zako ambazo quality yake nzuri na classy ambazo zinaweza kuvalika mara kwa mara.

Kuvaa Loud Labels

Hapa hata kama ni kitu ni Og lakini ikisha kuwa zile nguo zenye ma lebo makubwa yanaonekana unaonaonaka kama bango la hio kampuni, hakikisha kama unavaa nguo og au za brand fulani basi hazina ma logo mengi bora uvae nguo plain.

Low Quality Handbag

Kama kwenye mavazi, viatu,makeup na jewerly huitaji pochi la gharama ila unahitaji lenye quality nzuri, rangi nzuri na pia liwe size nzuri usibebe pochi likakuelemea.

Related posts

1 Comment

  1. mp3 juice

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/tabia-6-za-kimavazi-zinazo-zinazo-punguza-mvuto-wako/ […]

Comments are closed.